Beyonce na Jay Z wanaongoza list ya Forbes Masta wapenzi wanaoingiza Mkwanja Mrefu duniani

llist ImageImageJay Z na beyonce hawashiki kwa mujibu wa Forbes Mwaka huu amabapo imekadiliwa wameingiza mkwanja upatao mill $95 kati ya mwezi june2013 hadi june2013 

List yao inafuatiwa na 

2.Tom Brany na Gisele Bundchen walioingiza dola mill $80 mwaka uliopita Image3.Brand Pitt na Angelina Jolie wametengeneza dola mill $50Image4.Ashton Kutcher na demu wake mpya Mila Kunis Wametengeneza dola mill $35Image5.Wazazi Kanye West na Kim Kardashia ambapo watengeneza dola mill $30Image