YAYA TOURE MCHEZAJI BORA AFRIKA 2013

Image

Yaya Toure akikabidhiwa tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa BBC 2013.

Kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ivory Coast, Yaya Toure ameshinda tuzo ya mchezaji bora barani Afrika ya BBC kwa mwaka 2013!

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30, aliwashinda wachezaji wenzake Pierre-Emerick Aubameyang, Victor Moses, John Mikel Obi na Jonathan Pitroipa na kuibuka mshindi wa tuzo hiyo.