Penzi la Kajala na Petit Man “chali”. Mdogo wake Vanessa mdee atajwa kuhusika

Image

Habari zilizogazaa mtaani zinasema kuwa  penzi la mwanadada Kajala Masanja na Petit Man Wakuache ambaye ni anafanya kazi na Wema Sepetu nadni ya kampuni ya Endless Fame Production limeota mbawa na kwa sasa Petit Man anatoka na mdogo wake Vanessa Mdee.

Kwa mujibu wa The Gossip corp wa clouds FM wawil hao hawapo pamoja tena na mwanadada kajala amejaribusana kumsihi Petit man wakuache warudiane bila mafanikio

Kajala wala Petit man bado hawajaweza kupatikana kuthibitisha suala hili.