Hizi ndio sababu asilimia kubwa ya wanaume wanasaliti ndoa zao, au visingizio tu?

ImageMwanaume anapotoka nje ya ndoa, hatoki kwa sababau anataka sana kutoka, hutoka zaidi kwa sababu kuna msukumo wa kutoka. Hatoki nje kwa sababu anampenda huyo anayetoka naye nje, hapana. Anatoka nje kwa sababu anasukumwa na asichokijua. Kwa nini mwanaume anatoka nje na anafumaniwa, anaomba radhi, anasamehewa na halafu anatoka tena..Read More