Baada ya Ney wa Mitego kumdisi Haji Ramadhani kwenye wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la Salam zao,Haji sasa anasema hajafuria na anaishukuru BSS na huu ni wimbo wake mpya aliofanya chini ya studio za Jaraman Record iliyopo kinondoni na video chini ya Apex Video by Pablo. Haji anapenda kuwafahamisha..Read More